Wakili wa Curtis Jackson aka 50 Cent ameandika hati ya utetezi kwa mteja wake akimtetea kuwa amefilisika kufuatia rappa huyo kutakiwa kumlipa mama wa mtoto wa kike wa rappa Rick Ross dolla millioni 5.Siku ya ijumaa (July 10) hakimu alimtaka rapaa 50 Cent kumlipa mama wa mtoto wa kike wa rappa Rick Ross,Lastonia Leviston kiasi cha dolla millioni 5 kufuatia kuusambaza mkanda mchafu wa mama huyo katika mitandao na kuuza kitendo ambacho kisheri si cha kibinadamu na cha kudhalilisha
Bosi huyo wa The G-Unit rapper imeripotiwa kudai ana mali za kawaida ambazo zinakadiliwa kuwa na thamani za dolla millioni 10 mpaka 50.
0 comments:
Post a Comment