Chris Brown and Rihanna are back together.
Ripoti mpya zinasema Breezy alikuwa studio akirekodi na muimbaji mmoja mdogo ndipo alipoingia Rihanna.Shahidi aliyewaona na kuwapiga icha kisiri Chris Brown, 26 na Rihanna, 27, tarehe 14 August amesema wawili hao walikuwa wamepoazi na kuongea kama wapenzi.
Shahidi wa tukio hilo ni muimbaji chipukizi ,Assata alikuwa akirekodio wimbo studio na Chris ila shughuli zilisimama kwa muda alipoingia Rihanna studoni hapo kumfuata Chris Brown.
Rihanna kwa mtazamo wa Chris Brown nikama mwanamke wa kipekee katika dunia hii anayeweza kumfanya afurahie mapenzi,Breezy amekiri mara kwa mara kwamba anampenda kufa Ri na hata hivi katika mahojiano amefikia kusema anajisikia raha hata kuongea na Rihanna kuliko hata kushiriki naye mapenzi.
Katika habari nyingine,Chris Braow amemtaka Rihanna aungane naye katika ziara yake ya muziki inayoendelea,watumbuize pamoja show maalum.
0 comments:
Post a Comment