Siku chahe zilizopita wapenzi Nicki na Meek wamepitia wakati mgumu kidogo katika mahusiano yao na hii ni kutokana na beef inayoendelea inayowahusisha Drake na Meek Mill.Rapa Nicki Minaj amekuwa katika wakati mgumu ukizingatia ni bef inayowhusu watu wake wa karibu,Meek Mill ambaye ni mpenzi wake na Drake ambaye wanafanya kazi pamoja katika lebo ya YMCMB.Beef likiwa linaendelea ukaenea uvumi katika mitandao ya kijamii kwamba Meek na Nicki wameachana kufuatia Meek kulalamika kwamba Nicki amungi mkono katika vita hiyo uvumi ambao ulizodolewa na wawili hao kutumbuiza pamoja jukwaani ambapo kukumbatiana na mabusu vilitawala kuwaonyesha mashabiki penzi lao linazidi kushamiri.
0 comments:
Post a Comment