Jumba langu linakaribia kumalizika huko AFRICA,ndicho alichoandika rappa 50 Cent katika akaunti yake ya Instagram na kuongeza kusema "I'm gonna have the craziest House warming party ever.I'll explain later. I got a good life Man.” akimaanisha atafanya parti kabambe za ufunguzi zaidi atatufahamisha baadaye ila anaamini atakuwa na maisha mazuri Africa.
Wengi wamehusiha kuhama kwa 50 Cent na hali yake ya sasa kama ilivyotangazwa mwezi July kwamba amefilisika.
\Taarifa zaidi zinasema rappa 50 Cent amemtaka wakiloi wake kumtangaza amefilisika na anakabiriwa na madeni kama ya umeme,gesi,watu wa taka,Tv cable, Internet na hata huduma za simu katika jumba lake la ukubwa wa skwea 50,000.
0 comments:
Post a Comment