DMX ypo huru tena
The Dark Man X ametoka jela baada ya kukamtwa mwezi July kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kutotoa pesa za matumizi ya mtoto ambapo inasemekana alilimbikiza mpaka deni likafikia dola 20,000.
DMX
alijitetea kwamba hakuwa anajua kama anadaiwa pesa hizo za matumizi.Mtandao wa kidaku wa story za mastaa huko marekani umeandika kwamba DMX ameachiwa kwa ahadi kwamba ila alisema kama atachakalika kuweza kulipa deni hilo.
Swali ambalo wengi wanajiuliza ni je atamfanya nini mtoto wake wa kiume aliyenadi zile Certificate zake.
Monday, September 28, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment