Fetty Wap alipata ajali ya honda huko kwao Paterson, New Jersey,jumamosi asubuhi (Sept. 26).
“Trap Queen” hitmaker huyo alikuwa akiendesha honda kubwa aina ya Suzuki akapata ajali akiwa anajaribu kulipita gari bila kuangalia kuna gari ingine ikikatizandipo akafeli na kudondoka kwa kubilingika mara kadhaa na kuumia.
Watu wa huduma ya kwanz walifika eneo la tukio na kumpatia huduma ya kwanza na kumuwekea hewa ya oxygen na baadaye kumpeleka hospital.
Hbari hiyo ilipamba vichwa vingi vya habari na mashabiki wengi walimtumia salamu za pole huku wakimuombea apone kupitia akaunti yake ya Twitter huku wengi wakiandika: #PrayForFetty.
Fetty amepata ajali ikiwa ni siku moja tu imepita tangu azindue albamu yake mpya .
UPDATE: According to his DJ Louie Styles, Fetty is OK. He posted a photo of him on a stretcher with his leg bandaged and in a brace.
Monday, September 28, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment