Sanjay Dutt aliachiwa kwa muda ( siku 30 ) kutoka katika jela ya Yerwada
Central Jail, Pune, na uhuru huo uliishia jana jumapili.Sanjay Dutt mwenye umri wa miaka 56 aliachiwa kwa muda kutoka jela mwezi August kwasababu binti yake mdogo alitakiwa kufanyiwa upasuaji wa pua.
Sanjay yupo jela kwa makosa ya kumiliki silaha bila kibali na kusababisha milipuko uliokatisha maisha ya mamia mwaka 1993.
Kwa kosa hilo Indian alihukumiwa kama gaidi,TADA (Terrorist and Disruptive Activities (Prevention) Act).
Dutt had alifungwa miezi 16 kipindi cha mwaka 1994 na 1995 na alihudumia wiki kadha mwaka ya 2007. Na mwaka 2013hukumu yake ikatajwa tena katika mahakama kuu ya India na kuhukumiwa miaka mitatu jela.
0 comments:
Post a Comment