Tupac Shakur aliuwawa huko Las Vegas miaka 19 iliyopita tarehe kama ya jana.Katika kusherekea siku yake,rappa Kendrick Lamar ameamua kuuelezea ulimwengukuhusu kile anachojisikia kuhusu hayati Tupac upitia barua ambayo baadaye aliituma katika mtandao maalumu wa n 2Pac.
Tazama baru hiyo hapo chini na alichiokiandika Kendrick Lamar:
Monday, September 14, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment