Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 9/11/2015 03:58:00 AM
No comments
Rappa Drake ameonekana kama akitaka kurudisha majeshi kwa bingwa wa mchezo wa tennis kwa wanawake duniani,Serena Williams. Wakati Drake yupo katika huo mkakati amekutana na kikwazo,mara nyingi wanawake hushauriana sana hasa wanahisi kuna jambo baya linaweza kumfika mwenzao,hay yamejidhihisha baada ya rappa wa kike toka kundi la Young Money ambaye kwasasa yupo katika mahusiano na rapp Meek Mill,Nicki Minaj kumshauri na kumuonya Serena kwamba Drake amegeukia kumtaka kimapenzi tu kwasababu hakufanikiwa kumnasa yeye (Nicki Minaj) hivyo asimpe nafasi.
0 comments:
Post a Comment