Ndiyo ametoka jela sasa nini kinafuata kwa baba huyu wa watoto zaidi ya wanne ?
DMX meamua kufunguka kuwaambia mashabiki zake kwamba ametoka jela kinachofuata ni kuparanganya akabilianer na majikumu,kodi,mahitaji ya nyumbani na watoto.
DMX amesema kazi yake kubwa ni mziki hivyo amepata muda mzuri hata huko jela kwaajili ya kuandaa muziki mzur ajili ya mashabiki zake.
,
Thursday, October 1, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment