Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, November 12, 2015



Christina Milian na Lil' Wayne walimwagana miezi ya mwanzo wa mwaka huu na kuwaacha mashabiki wao katika hali ya sintofahamu juu ya nini kimepelekea mastaa hao kumwagana.
Pamoja na kuandamwa na waandishi wa habari Christina Milian aliweka moyoni ukweli juu ya kilichotokea huku akiwaambia atafunguka ila wavute subira mpaka kipindi chake cha televisheni cha Christina Milian Turned Up kitapoanza.
Katika sehemu ya kipindi cha Christina Milian Turned Up Christina amesema,sababu iliyopelekea mahusiano yake na rapa Lil Wayne kuvunjika ni pale alipokuta picha za warembo wakiwa nusu utupu nyumbani kwa rapa huyo.Milan amesema baada ya kukuta picha hizo alimuuliza Lil Wayne na hakuwa na cha kujibu hivo ikawa ndiyo mwisho.
 

0 comments:

Post a Comment