Rihanna anatanua wigo wa mirija ya kujiingizia kipato katika ngome yake ya biashara zake za mambo ya urembo na mitindo.Pop superstar huyo amefungua kampuni ya mambo ya urembo na mitindo (beauty and stylist) ambayo ameiita Fr8me.
Kampuni hiyo ambayo ipo Los Angeles itajihusiha zaidi na shughuli za urembo wa mwili na nywele,mitindo,sanaa,artists in booking za matangazo ya biashara ya radio na Tv, kampeni na shughuli za red-carpet.
Timu ya wafanyakazi katika kampuni hiyo itajumuisha makeup artist wa Rihanna,Mylah Morales
,mwanamitindo wa Taraji P.Henson,mwanamitindo wa nywele wa Fergie,Patricia
Morales na m bunifu na mwanamitindo wa Jada Pinkett Smith and the Smith
family,Marcia Hamilton.
Thursday, November 12, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment