Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, November 9, 2015


Gitaa la Roc Star John Lennon aina ya acoustic guitar ambalo liliwahi kuibwa,liliuzwa  katika mnada siku ya jumamosi huko California kwa kiasi cha dolla millioni 2.4 huku dram za kundi maarufu zaidi la muziki wa rock na jazi,Beatles zilkipigwa mnada kwa kuuzwa kwa kiasi cha dolla millioni 2.

Gitaa hilo la rockstar Lennon aina ya J-160E Gibson guitar lilitumika mwaka 1962 kurekodi nyimbo zake classics na zilizofanya vizuri sana kama “P.S. I Love You” na “Love Me Do”lilinunuliwa na mteja asiye maarufu ambaye aliwapiku bei watu maarufu kibao kwa kulinunua gitaa hilo kwa dolla millioni 2.4 juu ya matarajio ya mfanya minada maarufu wa  Beverly Hills,Darren Julien ambaye alikiri kushangazwa kwani alijua lingeuzwa kuanzia dolla millioni 1.
Nusu ya pesa hiyo ya mauzo ya gitaa hilo yatapelekwa kutnisha mfuko aliouanzisha Lennon wa Spirit Foundation na nusu atapatiwa mjane wake bi Yoko Ono.

0 comments:

Post a Comment