Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, November 9, 2015


Kama ilivyo na inavyotokeaga hapa bongo wasanii kusahau mistari yao kwa ulevi uliopitiliza ama kwasababu myingine,imemtokea rappa mahiri Kanye West  alipokuwa akitumbuiza katika sherehe ya kuzaliwa mkwewe,Kris Jenner iliyogharimu dolla za imrekani millioni 2.
Shuhuda watukio hilo aliuambia mtandao wa NY Post kwamba muimbaji Charlie Wilson alikuwapo na alitumbuiza vema wimbo wa The Gap Band, “Outstanding” uliotoka November 1982  tofauti na West ambaye alisahau mistari ya wimbo See Me Now Ft. Big Sean, Beyonce & Charlie Wilson alioutoa 2010 .
Shuhuda wa tukio amesema alimsikia “Kanye akisema '' ‘I don’t remember the words!'”akimaaisha hakumbuki mistari ya wimbo huo huku akifanya mitindo huru kwa kuchomekea maneno ya 50 Cent ya wimbo ‘In Da Club’ ‘Go Shorty! It’s your birthday!'” na baadaye kubadili na kuingizia wimbo wa Stevie Wonder’s “Happy Birthday” to Jenner na kumaliza kutumbuiza kwa ngoma yake “The Good Life.”
Ikumbukwe mnamo mwaka 2007 ma rappa 50 Cent ( Curtis )na Kanye West (Graduation )  waliposhindana katika mauzo ya albams walizotoa siku moja huku kila mmoja akitoa ahadi kwamba akishindwa katika mauzo atafanya hiki huku rappa 50 Cent akiahidi kustaafu muziki.
Albamu ya Kanye West ilikuwa nyimbo kama:
  1. "Can't Tell Me Nothing"
    Released: May 15, 2007
  2. "Stronger"
    Released: July 31, 2007
  3. "Good Life"
    Released: October 2, 2007
  4. "Flashing Lights"
    Released: November 12, 2007
  5. "Homecoming"
    Released: February 18, 2008

Albamu ya 50cent ilikuwa nyimbo kama:
  1. "Amusement Park"
    Released: May 8, 2007 (promotional)
  2. "Straight to the Bank"
    Released: June 29, 2007
  3. "I Get Money"
    Released: June 30, 2007 (promotional)
  4. "Ayo Technology"
    Released: August 31, 2007
  5. "I'll Still Kill"
    Released: December 14, 2007

0 comments:

Post a Comment