John Cena ambaye ni star wa mieleka wa WWE ametangaza kuachana na mchezo uliompatia umaarufu mkubwa wa mieleka na kuwa muigizaji katika televisheni.
John Cena ametangaza kuachan na mchezo wa mielekea ikiwa ameng'ara katika mchezo huo kwa takribani miaka 13.
John Cena amesema sababu ya kuamua kuachana na mieleka ni kwamba ana mpango wa kuanzisha kipindi katika Fox reality TV,kipindi kitaitwa American Grit.
Akiongea katika mahojiano John Cena amesema:
I’ve been a cornerstone of WWE programming since 2002.
That’s a long time, it’s more than 10 years…so much so that a portion of
our audience has direct complacency with me. ‘Man, Cena holds everybody
down. He
Monday, November 30, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment