Nov 27, 2015 ilikuwa siku rasmi ya kuzinduliwa kwa bidhaa za The YMCMB rapper,Nick Minaj,"Nicki Minaj Couture Collection," Nicki kupitia akaunti yake ya Instagram alituma picha kadhaa za kwake na wanamitindo wengine wakiwa wamevalia nguo mpya kutoka katika kampuni yake ya mavazi akishirikiana na Kmart kuzitangaza bidhaa zao ambazo wameziita "Classic Collection."
The Couture Collection inajihusiha na bidhaa za mavazi na urembo kama vitambaa vya marembo, bidhaa za ngozi kama mikanda,mabegi,mapochi,siti za magari,nguo za kisasa za akina dada ambzo zitaanza kuuzwa Europe,America na kwingineko.
Tazama baadhi ya picha za mavazi hayo hapo chini:
Nicki Minaj posted
several pictures of herself modeling her Nicki Minaj Couture Collection,
which premiered at Kmart on Friday November 27.
According to nickiminajcollection’s website, ‘The Couture Collection
features elegant fabrics, supple leathers and sexy laces sourced from
Europe and beyond.
‘These exquisite pieces are all limited-edition, so act fast to bring a
stylish slice of the runway into your closet today’.
The YMCMB rapper brands it as a ‘capsule limited edition collection’ on
another post....
Read More at thenet.ng/2015/11/photos-nicki-minaj-models-her-own-kmart-couture-collection/ Follow us: @theNETng on Twitter | theNETng on Facebook
Read More at thenet.ng/2015/11/photos-nicki-minaj-models-her-own-kmart-couture-collection/ Follow us: @theNETng on Twitter | theNETng on Facebook
0 comments:
Post a Comment