Jina la kaka wa North West limepatikana.
Kanye West na mkewe Kim Kardashian wametangaza kumpatia jina mtoto wao mpya wa kiume Saint West.
Katika post aliyoweka katika website yake
Kim aliandika.
“To our fans. Saint West. 12.05.15. 8 pounds pia akatuma vikatuni vikiwawakilisha Kanye, Kim, North, Saint
Tuesday, December 8, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment