Drake amesema alishawai kuwa mwandihi wa nyimbo wa producer Dr. Dre na kampuni yake ya Aftermath Entertainment akiwa na umri wa miaka 19 tu.
Rapa Drake ameongea hayo katika kitabu cha John Seabrook kilichopewa jina, The Song Machine: Inside The Hit Factory, kilichotoka mwezi October.
Seabrook alipomhojia Drake alisema akiwa na umri 19 yeye na Noah
"40” Shebib ilibidi wahamie Los Angeles kufanya kazi ya songwriters kwaajili ya Dr. Dre na kampuni yake ya Aftermath Entertainment.
Drakeamesema likuwa akilipwa $10,000 kwaajili ya uandishi wa nyimbo ambazo hazijawahi kutolewa na wakati huo bosi Dr. Dre alikuwa ametingwa kuaanda albamu yake ya Detox ambayo mpaka hivi leo haijatolewa.
0 comments:
Post a Comment