Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 1/14/2016 02:00:00 AM
No comments
Kuna uvumi unaosambaa unaodai kwamba sasa star wa muziki na mkewa Jay Z, Beyonce ni mja mzito na anatamani kupata mtoto wa kiume.Taarifa zaidi zinadai Beyonce alimfata Kim
Kardashian ili amshauri namna gani atapata mtoto wa kiume.Beyonce 34 ana mtoto mmoja na rapa Jay Z 46,wa kike,Blue Iv Carter mwenye umri wa miaka 4 na Kim Kardashian 35 ana watoto wawili na Kanye West,North West na Saint.
0 comments:
Post a Comment