Jaden Smith anaelekea kutimiza ndoto yake kubwa katika tasnia ya sanaa ya mitindo baada ya kutajwa kuwa balozi wa nguo za kike za lebo ya Louis Vuitton. Mtotot huyo wa mastaa Will na Jada mwenye umri wa miaka 17ametajwa kuwa balozi wa kampeni za lebo za Louis Vuiton kwa majira ya Spring/Summer 2016. Kupitia ukurasa wake wa Instagram brand director wa LV bwa Nicolas Ghesquière,aliweka picha za Jaden akiwa amevalia sehemu ya mavazi hayo mapya .
Monday, January 4, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment