Ule msemo wa wawili wakigombana shika jembe ukalime una ukweli ndani yake,hayo yamejidhihirisha pale watu ambao wanachukuliwa kama mahasimu wakubwa kwa mwaka wa 2015 Birdman n Lil Wayne walipoonekana wakila bata pamoja katika pati ya mwaka mpya iliyoandaliwa na msanii wao ambaye ni rapa Drake'.
Pati hiyi iliyoandaliwa na Drake iliyopewa jina la Drake's New Year's Eve bash! ilifanyika huko Miami katika ukumbi wa E11even nightclub.
Lil Wayne amekuwa akimshutumu Birdman kumdhulumu kiasi kikubwa cha pesa mna hata kufikia hatua ya kumfungulia mashtaka ya kutaka yeye na kundi lake la Young Money kujioa Cash Money.
Saturday, January 2, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment