Ikiwa zimepita takribani wiki 6 tangu mastaa Kim Kardashian na Kanye West kumkaribisha mtoto wao wa pili ambaye ni wa kiume waliyempatia jina la Saint,mambo si shwari katika familia hiyo.
Watu wa karibu na familia hiyo wamesema mastaa hao wamekuwa katika ubishani mzito juu ya namba ama idadi ya watoto.
“Kanye ana mpango wa kuongeza mtoto wa tatu wakati mkewe,“Kim ameshikilia msimamo kwamba imetosha na hii ni kutokana na situation aliyokutana nayo katika uzazi wake wa hivi karibuni.
Kim Kardashian 35 alishauriwa na madakatari kwamba apumzike kidogo kwani akibeba ujauzito mwingine hali haitokuwa shwari.,
0 comments:
Post a Comment