Wakati msanii wake,Meek Mill akiwa katika beef zito na 50 Cent, boss wa Maybach Music,bw Rick Ross ameamua kuvaana na Birdman.
Wakati wakitangaza muungano wao Birdman na Lil Wayne huko Miami wikiendi iliyoisha,bosi wa the Cash Money Records alitupa vijembe na kutoa maneno makali dhidi ya Rozay ambaye inasemekana alimtupia vijembe katika wimbo ''Color Money'' uliopo katika albamu ya Rozay,Black Market.
Katika wimbo huo Rozay anachana:“Color money got you b..h out on a world tour / My lil homie made a million on his girl tour,” “We back to back and down to whack a ni**a unborn / Miami ni**as got them changing all the gun laws / So run Forrest got some shooters and they dying too / I got more money than that p***y that you’re signed to.”
0 comments:
Post a Comment