Cash Money Records matatani tena,wakati bado wanatakiwa kumlipa While Lil Wayne, walikuwa katika vita ya kisheria mahakamni na Orange Factor Music ambapo kesi imekwisha kwa Cash Money kuamriwa kulipa kiasi cha dola millioni 1.1.
OFM walitengeneza nyimbo nyingi hits za aliyekuwa msanii wa Cash Money, Jay Sean,ngoma kama “Down,” “Fire,” “Do You Remember,”“Lights Off,” na nyinginezo.
Taarifa zaidi zinasema OFM walifungua mashtaka baada ya kutolipwa stahiki yao kama walivyokubaliana na kwa wakti hivyo hakimu ameitaka Cash Money kulipa deni hilo ndani ya siku 21.
Muimbaji Jay Sean alijiondoa Cash Money mwaka 2014 lakini bado yupo vizuri na Slim na Baby ambao ni ma [CEOs wa Cash Money],
0 comments:
Post a Comment