Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, February 24, 2016

rappers ghostwriting for diddy t.i.
Rapa T.I.ambaye jana ameripotiwa kusaini dili na kampuni ya Jay Z,Roc Nation na TIDAL,ameripotiwa kuwa na deni kubwa la kodi ya maopato.
Internal Revenue Service wanamdai rapa huyo toka pande za Atlanta rkiasi cha zaidi ya dola millioni 6.2. Gazeti la The Daily Mail la marekani limeandika kwamba mamlaka hiyo ya kodi ya mapato ya America,IRS imemfungulia mashtaka T.I.ambaye jina lake ni  Clifford Harris, mara ya tatu ndani ya mwaka mmoja
Shitaka la mwisho ni la deni la kiasi cha dola 1,640,664.90 hii imekuja baada ya rappa huyo kufatwa mara mbili mwezi august  ambapo alipelekewa stakabadhi ya kutakiwa kulipa dola 1,397,283.47 kwa kodi aliyokwepa mwaka 2012 na dola $3,173,476.39 kwa mwaka 2013.

Mamlaka ya mapato,IRS walimpelekea bili za madeni hayo lakini bosi huyo wa Grand Hustle hajatoa ushirikiano.IRS wamesemampango uliopo ni kum[pokonya mali za thamani anazo miliki.

T.I. inasemekana ana uwezo wa kumaliza deni hilo kwani anatajwa kuwa na utajiri wa kiasi kisichopungua dola miliono 50.

T.I. has found himself on the wrong side of the Internal Revenue Service’s watchful eye as the Atlanta rapper reportedly owes them over $6.2 million in unpaid taxes. The Daily Mail reports the IRS has filed a federal tax lien against T.I., who real name is Clifford Harris, for the third time in less than a year.
According to documents obtained by the Daily Mail, the latest lien filed by the IRS is for the amount of $1,640,664.90. This comes after T.I. was hit with two liens back in August 2016 that amounted to $1,397,283.47 for unpaid taxes from 2012 and $3,173,476.39 for unpaid taxes from 2013. The grand total of all three liens amounts to $6,211,424.76.
The IRS claims that they demanded payment from T.I., but the Grand Hustle boss has refused to do so. In reaction to this, the IRS now has plans to seize T.I.’s assets to collect the debt.
T.I. might be able to end this whole situation on a smoother note as his estimated worth has been reported at around $215 million. Money Magazine reported that T.I. was one of the highest paid rappers in 2015 as he earned an estimated $75 million last year.


Read More: T.I. Owes a Ton of Money to the IRS - XXL | http://www.xxlmag.com/news/2016/02/t-i-owes-a-ton-of-money-to-the-irs/?trackback=tsmclip

0 comments:

Post a Comment