Kwa wapenzi wa manukato RiRi amewaletea utuli mwingine.
This time,the Grammy-winning, chart-topping songstress amewaletea marashi ama perfume iliyopewa jina la Crush by Rihanna.
Hili ni toleo la pili katika matoleo yake ya RiRi collection kutoka ya mwaka jana RiRi.
Manukato hayo yamo katika kijichupa ambacho kimebuniwa na Rihanna kikiwa katika muonekano wa dhahabuna kunakshiwa na rangi ya pink.
Crush itapatikana madukani na ibei ya rejareja kuanzia mezi August.
uzwa dola 20 mpaka 50 kwa
Thursday, June 16, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment