Justin Bieber inawezekana akawa anafuata nyayo za mshikaji wake, Floyd Mayweather ,hii ni baada ya muimbaji huyo mahiri kumtandika jebu na kumjeruhi vibaya shabiki mmoja.
Taarifa zaidi zinasema Justin Bieber akuwa katika ndogo mitaa ya Barcelona shabiki huyo alilikimbilia gari alilokuwamo stary huyo na kuingiza mkono kutaka ndipo alipokutana na stop punch iliyopelekea kumpasua sehmu ya uso wake na kumtoa damu nyingi kitendo kilichowashangaza na kuwashtua waliokuwa karibu.Mpaka sasa hatujajua hali ya shabiki huyo nakama amemfungulia mashtaka Justin Bieber.
Wednesday, November 23, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment