Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, November 23, 2016

 Tokeo la picha la alikiba & davido
Tekno ametajwa kuwa msanii wa nne mNigerian kusaini dili na Sony Music akiungana na mastaa kama Davido, Ycee na Wizkid .

Star huyo wa muziki anayetamba na ngoma yake Pana' alisherekea kusainiwa na SONY kwa kutuma kijipande cha video kupitia Instagram jana jumaane kikimuonyesha akisaini mikataba.
Mapema mwaka huu mnamo mwezi May 18 msanii wa muziki wa kikzazi kipya toka Tanzania,ALikiba alitangazwa kusainiwa na Sony Music baada ya MNigeria Davido.


0 comments:

Post a Comment