Rapa The Game ametakiwa kumlipa dola milioni 7 mwanamke mmoja ambaye anadai kudhalilishwa kijinsi wakati wakirekodi reality show.
Mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Rainey hapo hawali alifungua mashtaka akitaka alipwe kiasi cha dola millioni 10 kw kile alichokidai kudhalilishwa na The Game wakati wakirekodi reality show ya rapa huyo '' She Got Game ' na kusema siku moja The Game akiwa amelewa alimtomasa maungoni na maumbile bila ridhaa yake .
Taarifa zaidi zinasema rapa The Game amepanga kukata rufaa kupinga maamuzi hayo ya hakimu.
0 comments:
Post a Comment