Wiki kadha tangu ajumuike na waandamanaji waliokuwa wakipinga ushindi wa matokeo ya uraisi marekani ,rapa T.I. anapamba tena vyombo vya habari kwa tukio lingine.
Rapa T.I.alitakiwa kutumbuiza katika sherehe za mahafali ya Florida high school graduation party ambapo organizers wanaofahjamika kwa jina la Planet Productions wanasema waliongea na kukubaliana natimu ya wawakilishi wa T.I na kukubaliana wapatiwe kiasi cha dola 90,000 kama malipo ya awali lakini mpaka siku ya tukio hakutokea.
Waandaaji wa shughuli hiyo wamesema wanafungua mashtaka ya kutaka walipwe dola 390,000 kwa kile walichodai ni gharama za vibali,advertising, marketing .
Mpaka sasa upande wa rapa T.I.haujasema lolote kuhusu hilo.
0 comments:
Post a Comment