Mariah Carey amesema wakulaumiwa kufuatia uchumba wao kuvunjika ni imani za kidini na mdhehebu.Mtu wa karibu na star huyo amesema wanaamini kwamba billionea huyo alishawishiwa kuvunja uchumba na meneja wake wa maswala ya kibiashara ambaye ni mtumishi wa makanisa ya madhehebu ya Scientology .
Upande wa Mariah Carey unaamini meneja huyo bw Davis anamuendesha Billionea huyo na hata kufikia kumshawishi kuendesha program katika kanisha iliyopewa jina la “Purification Rundown” hivo kumshawishi aachane na Mariah Carey sababu atamuweka mbali na Mungu.
Upande wa bilionea huyo umekanusha vikali madai hayo kwa kusema sababu kubwa ya Mariah Carey kuachwa ni matumizi makubwa na ufujaji wa pesa.
Moja kati ya vitu vya gharama ni pete ya uchumba aliyoitaka Mariah ilighrimu dola millioni 10.
0 comments:
Post a Comment