Inawezekana akawa ajaijaza Orlando Stadium inayomeza watu 40,000 lakini rapa toka South Africa , Cassper Nyovest ameonyesha anaweza kwa kufanya onyesho zuri ambalo litaandikwa katika history na matukio ya kukumbukwa.
Tamasha hilo lililofanyika siku ya jumamosi tar 29 Oct lilihudhuriwa na maelfu ya watu wanaosadikiwa kuwa zaidi ya 30 000 ambao walipata burudani safi toka kwa wakali kama Emtee, Riky Rick, Babes Wodumo na kama haitoshi Wizkid.
Tamasha lilikuwa na matukio kadhaa ya kukumbukwa likiwapo tukio la kukumbatiana na anayetajwa kuwa hasimu wake mkubwa rapa aka.
Baada ya tamasha hilo kufanikiwa rapa Cassper ameahidi kufanya tamasha kubwa zaid katika uwanja mkubwa zaidi wa Soccer city uliopo Johanesburg ambao una uwezo wa kubuguia mashabiki 94,736
Tamasha lilikuwa na matukio kadhaa ya kukumbukwa likiwapo tukio la kukumbatiana na anayetajwa kuwa hasimu wake mkubwa rapa aka.
0 comments:
Post a Comment