Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, October 31, 2016

Iyanya signs to mavin records

Habari ya mwimbaji mahiri Iyanya kusainiwa na Mavin Records ya Don Jaz imekuwa ni ya kushtua sana mashabiki huku wengi wakimuangalia Iyanya kama Boss aliyeweza kuanzisha lebo yake na si kusainiwa.

Kingine kinachowashangaza azidi mashabiki ni Miezi kadhaa iliyopita Iyanya alikuwa mmiliki mwenza wa lebo ya Made Men Music Group ambayo ilikuwa na mpango wa kumsaini muimbaji Tekno inakuwaje anasainiwa na Mavin Records ya Don Jazzy japo one of the best music companies huko Nigeria.

Kufuatia kumsaini Iyanya Don Jaza amesema:This signing, on paper is good business for everyone involved. Don Jazzy amefanya makubwa katika music business ukianzi kuvumbnua vipaji na hata kuviendeleza na kuwafanya mastaa wakubwa katika sanaa kama Tiwa Savage, Wande Coal, Dr Sid, D’Prince, Reekado Banks, Di’Ja, Korede Bello.
Don Jazzy anachukua sana wasanii aina ya plug and play artiste. One who is ready to go with one good song, and would instantly begin to bring in the bucks. It’s good business; less stressful, comparably more money, and requiring very little by way of marketing spend. 

0 comments:

Post a Comment