Baada ya kuenea uvumi kwamba kunanukia talaka katika ndoa ya mastaa Kanye West na Kim Kardashian mwisho wa wiki iliyopita wawili hao wametangaza kuanza kuudhuria darasa maalumu likatako waweka sawa na kuwaepusha na mpango wa talaka.
Kwa mujibu wa watu wa karibu wamesema inawwezekana matukio ya Kim kuporwa na majambazi na Kanye kulazwa hospitalini yamewaweka karibu wawili hao.
Taarifa zaidi zinasema mmoja kti ya mastaa hao amesema wananusuru ndoa yao hiyo kwa faida ya watoto wao wawili North na Saint West.
Naktika habari nyingine kuna taarifa zinasema kwamba rapa na m bunifu wa mitindo Kanye West ametangaza kusitisha ziara zake bara la ulaya za muziki zinazofahamika kama “Saint Pablo Tour.”
0 comments:
Post a Comment