Baada ya Drake kusema hatofanya tena diss track Mashabiki wengi wamehoji je amemaliza beef yalke na Meek Mill na hawatopata ladha kama ‘Back to Back’ tena?!
Akitumbuiza katika tamasha maalum la mwaka mpya Drake, alisema anatumbiza wimbo liomdiss Meek Mill “Back to Back” kwa mara ya mwisha na hatouimba tena tena majukwaani.
Katika onyesho hilo lililofanyika huko Las Vegas on Dec rapa huyo alitoa ushauri kwa mashabiki waliohudhuria kwamba tuanze mwaka mpya kwa mawazo chanya (positive note).
Drake na Meek Mill walikwaruzana mwaka jana kilichopelekea Drake kuachia diss track “Back to Back.” Meek huku akimtuhumu Drake kwamba anatumia ghostwriter kuandikiwa hit songs,na ukiachana na hayo pia kati yao kuna Nicki Minaj, 34.
0 comments:
Post a Comment