Bada ya kusitisha kuonekana katika mitandao kwa takribani miezi mitatu tangu mwezi October 2016 reality TV star, Kim Kardashian,amerejea katika mitandao ya kijamii.
she returns to social media with a sweet photo of herself and her family.
Kim Kardashian jana, January 3, 2017, kupitia ukurasa wake wa Instagramalipost picha akiwa na familia yake North , Saint Westm na mumewe Kanye West.
Kim alijiondoa katika mitandao baada ya tukio la kuvamiwa na majambazi na kuporwa vitu vya thamani huko Paris mwezi October 2016.
0 comments:
Post a Comment