Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, January 31, 2017

Drake, Kanye West, and Justin Bieber
Music’s biggest stars Drake, Kanye West, Justin Bieber, na Frank Ocean wanaripotiwa kutohudhuria sherehe za utoaji wa tuzo za Grammys mwaka huu.
Ocean ambaye alifyatua vibao  Blonde na Endless hatohudhuria sherehe hizo kwa kile alichosea hadhani kama tuzo hizo ni kwaajili ya wanaotoka maeneo anayotokea. 
Kanye West ambaye ametajwa kuwania tuzo nane huku akiwa na tuzo  21 za Grammys alitangaza tangu mwezi October,kwamba “If [Frank’s] album’s not nominated in no categories, I’m not showin’ up to the Grammys.”
Naye rapa Drake ambaye ametajwa kuwania tuzo nane hatokuwapo kwa sherehe za tuzo hizo kwani tarehe hizo atakuwa katika ziara yake ya “Boy Meets World Tour.” 
Justin Bieber amnbaye ametajwa kuwania tuzo ya Album of the Year, alisema hatohudhuria  sherehe za utoaji tuzo hizo sababu zimekosa mguso.
Sherehe za utoaji wa tuzo za Grammys mwaka huu ambazo ni za 59th zitafanyka Feb. 12 ambapo mastaa Adele, Bruno Mars, John Legend,na wengine wametajwa kutumbiza.

0 comments:

Post a Comment