Joto la mpambano wa masumbwi litakalowakutanisha mastaa Soulja Boy, 26, na Chris Brown, 27 linazidi kupamba moto baada ya kuvuta hisia za watu mbali mbali na hata mastaa kwani ukiachiliambali Mike Tyson kutangazwa kumnoa Chris Brown na Floyd Mayweather kumnoa Soulja Boy,sasa staa Kanye West
39 ameongeza mafuta katika mpambano huo kwa ktangaza zawadi ya kolabo kwa rapa Soulja Boy ikiwa atashinda pambano hilo japo zawadi hiyo imebezwa na wadau wa wanaodai Kanye anataka atention ( kiki ) kwasababu anarejea katika muziki kwani watu wote wametolea macho pambano la Chris na Soulja .”
Taarifa zaidi zainasema The “Crank That” rapper rapa Soulja Boy amejigamba kwamba anajifua vilivyo kumkabili Chris Brown na amesema pambano hilo ni biggest
fights of the year.”
Monday, January 16, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment