Mariah Carey’ bado anaandamwa na jinamizi lakuboronga kwa onyesho lake la mwaka mpya na hii imepelekea mpaka baadhi ya mashabiki kuhoji kama bado anastahili kuwa na nyota katika njia ya miguu iliopo mjini Hollywood Boulevard na Vine Street huko Hollywood, Los Angeles, California, Marekani.
Taarifa zaidi zinasema nyota ya heshima aliyowekewa Mariah Carey kwenye wood Walk of Fame imeharibiwa kwa kuchafuliwa kwa kuandikwa alama kuba ya wino yakiulizo mbele ya jina lake
Kitengo maalumu cha polisi LA kipo katika uchunguzi wa kujua nani mhusika na uharibifu huo baada ya kutaarifiwa na Hollywood Chamber of Commerce siku ya jumapili ambapo kurudisha nyota hiyo katika hali yake imegharimu zaidi ya dola 1500.
0 comments:
Post a Comment