Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, January 30, 2017

 
 Baada ya maagizo ya raisi mteule wa marekani bwana Donald Trump kuzia pasi za kuingia Marekani rai wa mataifa 7 ya kiislamu :Iran, Iraq, Libya, Somalia, Sudan, Syria, and Yemen,ulimwengu umeshtushwa na kama haitoshi watu maarufu na mashuhuri duniani nao wameonyeshwa kutofurahishwa na uamuzi huo.
Muimbaji mahiri Rihanna ni  mmoja kati ya walioonyesha kutofurahishwa na uamuzi huo wa  President Donald Trump kwa kuandika katika tweter yake: The news is devastating! America is being ruined right before our eyes!akimaanisha taarifa hizi zitasababisha madhara nchi yetu inaharibiwa na mtu mmoja.
Member wa Bad Boy French Montana ameandika:“Love this,” he wrote. “More people with power need to stand up! This how war start! And innocent people suffer while you’re somewhere playing golf. This country belong to the Indians. We all immigrants! You can’t point fingers with a dirty hand! What do u expect people to do when u tell them they can’t see they family.
Chris Brown ameandika:  A Federal Judge just blocked Trump;s immigration ban :I pray this is true

 John Legend aliandika“Los Angeles is the home of so many immigrants, so many creative people, so many dreamers, and those of us who work in this business have the privilege of shaping how the rest of the world perceives this country we love,” he said. “We are the voice, we are the face of America.

0 comments:

Post a Comment