US superstar Madonna ameaasili mabinti wawili mapacha wenye umri wa miaka 4 kuoka nchini Malawa Lilongwe na kufikisha nmaba ya watotot aliowaasili toka nchini Malawi kuwa wanne.
Madonna ambaye alianzisha kampeni maalumu aliyoiita Raising Malawi ya mataifa ya kusini mwa African mwaka 2006, alianza kwa kuwaasili watoto wawili wa Malawi David Banda 2006 na Mercy James 2009.
Taarifa hizi zinathibitisha ikiwa ni wiki mbili tu tangu akanushe taarifa hizo pale alipoulizwa kwamba ni kweli anampango wa kuwaasili watoto wengine nchini Malawi.
0 comments:
Post a Comment