Baada ya picha zinazomuonyesha rapa T.I. akiwa na mrembo tofauti na mkewe katika fainali za Super Bowl LI mwisho wa wiki iliyopita kuenea mitandao na kusababisha uvumi kuhusu rapa huyo kutalikiana na mkewe Tameeka Tinny Harris,rapa T,I amefunguka na kukanusha kwamba mrem,bo aliokuwa naye katika fainali hizo ni superfan
(mshabiki ) .
Gumzo lilianza pale T,I alipoonekana amepozi akiwa na mrembo na kama ujuayo nguvu ya social media na tayari wakamtaja kama ni mchepuko wake (side chick”) .
Wednesday, February 8, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment