Taarifa za awali zlisema kulitokea tifu kati ya kundila la rap la Migos na Sean Kingston ambapo tarifa zinadai walitawanywa na milio ya risasi huko Las Vegassiku ya jumaane (Feb. 21).
Mmoja wa mashuhuda amesema ugomvi ulianza kwa mabisha na Kingston kuhusu
Soulja Boy na baadaye wakamtembezea kichapo na kum bamiza kichwa chini hitmaker huyo wa
“Beautiful Girls” lakini akaokolewa na rafiki yake ambaye alifyatua risasi kumkomboa japo hakumdhuru yeyote.
Kingston amekanusha madai ya kutembezewa kichapo kwa kupost kipande cha video katika social media huku akiimba “You can’t keep a
good man down” and then showing off his face, which appears free of any
signs of an alleged beatdown.
“Do it look like I got jumped? I look smooth as ice,”
Wakati Kingston’akikanusha madai hayo rafiki yake aliyefyatua risasi Moises Johnson, anashikiliwa na oilisi kwa kosa la kufyatua risasi na amefunguliwa mashtaka kadhaa.
Thursday, February 23, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment