Moja kati ya kigezo kikubwa kitumikacho kutunukiwa nafasi hii ni kuwa mtunzi n mwandishi ambaye amekuwa akiandika nyimbo borta katika kipindi cha miaongo miwili.
Hip-Hop legend Jay Z ametajwa kuwa rapa wa kwanza kupewa heshima ya kuwekewa alama katika jumba la makumbusho la waandshi hodari wa nyimbo " Songwriters Hall of Fame" na katika kuthibitisha hayo Jay Z ametwet : hii ni alama ya ushindi kwa ma rapa.
:By the way, this is a win for US. I remember when rap was said to be a fad . We are now alongside some of the greatest writers in history.
Jay Z kutajwa kupata heshima hiyo anaungana na ma legends kama Bob Dylan, Marvin Gaye,Boys II Men nk.
Waandishi wengine ambao watapatiwa heshima hiyo ni sambamba na Kenneth “Babyface” Edmonds, Jimmy Jam & Terry Lewis, Robert Lamm, James Pankow & Peter Cetera (of Chicago) and the man who gave us the Britney Spears masterpiece “... Baby One More Time,” Max Martin.
Sherehe hizo za 48 utoaji wa wa heshima hizo zitafanyika sambamba na chakula maalum cha usiki " Dinner " June 15 katika hote ya Marriott Marquis Hotel huko New York City.
0 comments:
Post a Comment