Pop star Chris Brown ameamriwa kukaa mbali na ex-girlfriend wake Karrueche Trankufuatia shutuma za kumtishia kumuua aliyekuwa mpenzi wake huyo.
Tran katika madai yake hayo amedai mapema mwezi huu aliyekuwa mpenzi wake bw Brown, 27, amewaambai baadhi ya watu kwamba pamoja na kupigwa ngumi kadhaa za tumbo wakiwa kattika mahusiano,kwamba eti kama hawatarudiana atamuua na kama haitoshi Brown pia ametajwa kuwatishia kuwapiga hata marafiki wa Tran.
Tran ambaye aliachana na Brown 2015,alisema ameogopeshwa na vitisho hivo hivyo vyombo maalum kutangaza Brown anatakiwa kukaa yadi 100 kutoka atakokwepoTran.
Mapema mwezi huu Brown alipost kijipande cha video akijigamba kwamba hua hanaga desturi za kuwaacha ma ex wake.
“If I love you, b..., ain’t nobody gonna have you. F–k that!” he added. “I’m tearing up everything.”
N akatika habari nyingine timu ya Chris Brown umeweka wazi kwamba ule mpambano wa masumbwi dhidi ya Soulja Boy hautokuwepo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram (February 21)Brown amepromote upcoming Party Tour na baadaye kusema mpambano hautokuwepo kwasababu “all the wrong people got in the way.”
0 comments:
Post a Comment