Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 2/21/2017 02:27:00 AM
No comments
Bifu la mastaa Drake na Meek Mill lilitingisha mashabiki wa rap na hiphop haswa pale lilipokuwa likichukua sura mpya kila siku kuanzia ma diss track,social media,na hata vijembe vya jukwaani huku likwaacha mashabiki kujiuliza nini chanzo na waspate majibu. Drizzy amefunguka na kuweka wazi alipofanyiwa mahojiano na Beats 1’s OVO Sound Radio na kusema kilichowagomabnisha yeye na Meek Mill si kingine bali ni Nicki Minaj na kuongeza kusema pamoja kufanya ma diss track na vijembe vyote alihakikisha hamdhalilishi Nicki Minaj in any way .
Na katika habari nyine rappa Drake amesema waandaaji wa tuzo za Grammys wana mbeza na wanamchukulia kama black artist
Drake ambaye mwaka 2016 alitajwa world's top-selling artist amewashutumu waandaaji wa tuzo za Grammys kwa ku mbagua na kumchukulia kama rapper tu kwasababu ni ana asili ya weusi na ndiyo maana alizikacha tuzo za mwaka huu 2017 tarehe 12 feb ambapo alitangazwa mshindi wa tuzo za Best Rap Song na Best Rap/Sung Performance kupitia kibao chake cha Hotline Bling huku akiwa hajafurahishwa kutopewa nafasi kibao chake namba moja One Dance.
Drake amesisitiza na kusema wtu wa Grammys, wananichukulia kama" black artist, I'm apparently a rapper, even though Hotline Bling is not a rap song," Drake, who rarely gives interviews, said on his weekend show on Apple's Beats 1 radio.
"The
only category that they can manage to fit me in is in a rap category,
maybe because I've rapped in the past or because I'm black," he said in
the form of an interview with Britain's DJ Semtex.
0 comments:
Post a Comment