Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, April 20, 2017

 Tokeo la picha la tupac and t.i
T.I.amesema anaamini Tupac Shakur  angekuwa hai mpaka hii leo angekuwa mwanasiasa mkubwa ambaye angekuwa na nafasi ya uwakilishi.T.I aliyasema hayo pale alipohojiwa na waandishi siku ya sherehe za usimikaji wa kumbukumbu ya heshima rappa Tupac katika eneo maalumu la  Rock and Roll Hall Of Fame
Tupac Shakur ambaye mara kwa mara tungo zake zilikuwa zinakemea mambo ya uonevu na ziliekeza serikali hali ya kisiasa aliuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana mwaka 1996.

0 comments:

Post a Comment