Kufuatia matukio ya kuburuzana katika vyombo vya kisheria kati ya Chris Brown na x wake Karrueche Tran,mwanasheria wa Brown Mark Geragos amesema anaamini Tran anachokonoa kesi za mara kwa mara dhidi ya Breezy ili kujipatia umaarufu kwani kesi dhidi ya Breezy zimekuwa zikipewa nafasi katika vyomba mbali mbali vya habari na hata mitandao ya kijamii.
Kesi aliyofungua Tran dhidi ya Breezy aliahirishwa Apr. 19 kwasababu ambazo zinasemekana bkutokamilika kwa ushahidi uliojitosheleza kuhusu madai ya kuwahi kupigwa wakati wakiwa katika mahusiano na kutishiwa kuuwawa.
Mapema mwezi huu zilisikika habari za Tran kuingia katika mahusiano na muimbaji wa kundi la Migos’ Quavo
Breezy yupo katika muendelezo wa ziara yake “Party Tour,” ambapo May 23 itakuwa Los Angeles.
Thursday, April 20, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment