Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, May 10, 2014

 Chris Brown
Hakimu amemtaka muimbaji mahiri wa R&B,Chris Brown kuendelea kubakia jela kwa siku 131 zaidi.

Brown alikuwa mahakamani huko L.A. siku ya ijumaa ambapo alikiri kosa la uvunjifu wa sheria wakati bado akiwa chini ya uangalizi baada ya yeye na mlinmzi wake kumpiga mtu huko Washington,D.C mwaka jana.
Taaarifa za awali zinadai hakimu wa mahakama kuu bw James R. Brandlin alimtaka Brown kutumikia kifungo cha mwaka mmoja lakini alibadili maamuzi baada ya kumuhesabia siku 234 ambazo tayari alikuwa anatumikia kuwa rehab.

Hakimu pia amemtaka Brown kuhudhuria therapy sessions mara mbili kwa wiki na vipimo vya madawa ya kulevya mara tatu katika wiki.

0 comments:

Post a Comment