Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, May 10, 2014

 Diddy
Sean “Diddy” Combs anaongeza cheo cha Dr katika jina lake.Mwamba huyo wa hip-hop ametunukiwa  degree ya udokta na Howard University katika mahafari ya 14 ya wahitimu siku ya jumamosi tarehe10.

Sean “Diddy” Combs mwenye umri wa miaka 44 alikuwa mwanafunzi chuoni hapo na kufukuzwa baada ya miaka miwili miaka ya 90 Washington, D.C.
Dr Sean “Diddy” Combs aliongozana na mama yake bi Janice Combs na marafiki zake wakiwamo will.i.am, Jermaine Dupri,French Montana na Bow Wow.
Baada ya kutoa hotuba Dr Diddy anaingia katika orodha yawaongeaji mahiri kama Oprah Winfrey,Colin Powell,Hillary Clinton nk.
http://cdn.rap-up.com/blog/wp-content/uploads/2014/05/diddy-howard-3-150x150.jpg 

0 comments:

Post a Comment